Jamani asanteni naendelea kuchukua nondo mi niwatoe wasiwasi kuhusu Huduma zangu zote na usafi nilizingatia sana na mapishi pia sikuanza kwenye mfungo n before pia nipo site nzuri kupita wote ila huu mtaa kiuhalisia mambo ya kishirikina na kuonekana wivu wa naendeleoni mambo Yao unauza mkaa ila...
Jamani Wana JamiiForums nilitengeneza mgahawa wangu mzuri na Classic maeneo flani kwa ajili ya mapishi ya Supu, chapati, ugali, na wali.
Nikawa nauza vizuri tu siku ya kwanza hamna hata Chakula kimoja kilichobaki, yaani Saa 5 hamna supu Wala chapati mchana hivyohivyo.
Ila siku zilivyoenda kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.