Inakuwaje, watu wangu? Natumai mko poa! Binafsi niko fresh.
Naomba kuuliza hivi, biashara ya movie library kwa Mpanda Mjini ikoje? Naamini kuna wadau wa Mpanda humu, na wengine waliowahi kuishi au hata kuhama lakini bado wanaifahamu vizuri Mpanda Mjini.
Natanguliza shukurani zangu za dhati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.