Kwa anaejua watu waliopangiwa kufanya interview wilaya ya kinondoni wanafanya interview sehem gan? Na muda wa kuripo kwenye interview kuanzia saa ngap? Interview inafanyika osterbay au kwa mkuu wa wilaya
Watu waliochaguliwa kufanya interview kinondoni wanafanyia maeneo gan? Kwenye kituo kikubwa cha polisi cha wilaya au kwa mkuu wa wilaya au mkuu wa mkoa msaada kwa anaejua
Habari ndugu nauliza hivi kama umepangiwq kufanya interview kinondoni je unaenda kwenye kituo kikubwa cha polisi cha wilaya hiyo kufanya interview au unaenda kwa mkuu wa wilaya wa kinondoni kufanya interview
Je kama una degree alf ukatumia chet cha form six kuomba na ukakubaliwa je ukitaka kutumia cheti cha degree ni baada ya muda gan na process zake zinakuwaje?
Na hv kuoa ni baada ya miaka mingap ya kufanya kaz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.