Recent content by Mr Great Thinker

  1. Mr Great Thinker

    JamiiForums Kila MWALIMU ( Ajirampya) Cheti,Stashahada na Shahada 2014 ATATAKIWA KUZINGATIA YAFUATAYO:-

    1. Kuripoti tarehe 01/04/2014 kwenye ofisi za Wakurugenzi wa Halmashauri kwa ajili ya kupangiwa vituo vya kazi na kuanza kazi. 2. Mwalimu atatakiwa kuwa na vyeti vyake halisi vyachuona Sekondari 3. Walimu ambao ni waajiriwa wa Serikali waliokuwa wanajiendeleza kieli mu wanatakiwa kurudi kwa...
Back
Top Bottom