hsc wako vizuri tuache majungu.....
Vijana hawa Fedha Nyingi Wanappata Nje ya Nchi lakini Wanawekeza hapa Tanzania mfano kutokana na Uaminifu wao na Kuaminiwa na Watanzania wengi wanakusanya Kontena Nyingi sana kwa Mwezi na kupewa SPECIAL RATES na wenye MELI,Hivyo wanapata Faida kidogo kwa Kila...
MAJUNGU HAYAFAI HSC WAPO VIZURI WAUNGWE MKONO
Vijana hawa Fedha Nyingi Wanappata Nje ya Nchi lakini Wanawekeza hapa Tanzania mfano kutokana na Uaminifu wao na Kuaminiwa na Watanzania wengi wanakusanya Kontena Nyingi sana kwa Mwezi na kupewa SPECIAL RATES na wenye MELI,Hivyo wanapata Faida kidogo...
Sio kweli huyu jamaa namjua wala HSC haina leseni ya uwakala wa mizigo yeye ana shipping agencies China na Dubai na sio dhambi mtu kufungua biahara nje ya nchi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.