Hata wewe na kushangaa kwa upuuzi wako kushangaa kenya kuja kuomba dawa , inamaana waliishiwa kwenye stock, sasa sijashangaa unachowashwa ni nini.
Na sidhani kama walikuja kuomba wapewa bure ila si wenyewe tuu ndo tumewapa bure, tungewahuzia wasingekataa kununua.
Any way sishangai ndo yale...
Kwani wamerekani ni akina nani?
Sisi wenyewe siasi za Kijamaa ni chazo kimoja chake cha umaskini.
Undo maana China Deng Xiaoping
Aliitoa china na akaleta wawekezaji kutoka nje.
Sasa za kijamaa zinafanya watu maskini sana.
Wewe ndo huna fact kabisa.
Eti unakaa kushinda nisha na kenya.
Wakati hata wewe kama wewe naamini shida nyingi tuu unazo.
Unataka mimi nikujibu wakati vyangu hujibu eboo
Wewe ndo huna fact kabisa.
Eti unakaa kushinda nisha na kenya.
Wakati hata wewe kama wewe naamini shida nyingi tuu unazo.
Unataka mimi nikujibu wakati vyangu hujibu eboo
Kingine naamini unaelewa kuwa unaweza kuwa na uchumi mkubwa lkn bado ukawa na shida nyingi sana .
Mfano Ethiopia 🇪🇹 wanauchumi mkuwa sana kuliko hata sisi.
But raia wao wanakimbia kule life is hard.
Afu sipo hapa kushidana na kenya wewe ndo unanifanya nianze kufananisha TZ na kenya.
Ila...
Jamani maarifa ni kitu cha msingi sana, India wapo top 7 nchi zenye uchumi mkubwa na GDP kubwa dunia ila maisha ya watu wao ni magumu sana, kuna majaa mmoja alisoma India alisema wale ikifika jioni kuna barabara zingafungwa kwa ajili ya watu kulala. Watu ni maskini sana.
But GDP yao ni kubwa...
Umeshidwa kujibu kwa kuwa kama wewe kweli ni mtu wa afya.
Vingi wa hivyo vitu tuna kenya au Uganda.
Hata kuna kuna kipindi efavirenz tulikuwa tunatoa Uganda.
Upo hapo?
Sishangai , hata USA big economy unaomba mkopo China.
Ni kawaida labda kwao huko walipata wagonjwa wengi wakaishiwa kwenye stock.
Sasa kufanya order kiwandani mpk wakufanyie production.
Inachukua muda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.