hata siko na mashamba hyo nlinunua kwa kazi ya kukodishia watu na malipo kwa kila saa,so from now on op tumepishana.brother kaamua kunikabidhi niweze kuitangazia iuzwe
#kiongozidesay hiyo mashine inavuna mpunga,Yaan inapofikia kipindi mpunga kuvunwa basi hyo mashine inafanya kazi ya kukata na kutenganisha mpunga utapita katika kinu na mapukupuku yanatokea upande wa pili hivo ww n kuchukua magunia na kuset katika mdomo wa kinu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.