Recent content by Mr Brain Jr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Gharama halisi za uzalishaji wa sabuni za magadi

    Shukrani sana Elungate. Ila pia nilitaka kufaham kwa hesabu halisi kwamba ili niweze zalisha sabuni kiasi kadhaa napaswa kuwa na mafuta lita kadhaa na ingredients kiasi fulani. Kwa yeyote mwenye any informations kuhusu hilo anijuze. Factor ya bei za malighafi tuziweke kuwa constant. Ahsante
  2. M

    JamiiForums Tanzania Gharama halisi za uzalishaji wa sabuni za magadi

    Hello, Kwa yeyote anaejua na kufanya naomba kujua gharama halisi za uzalishaji wa sabuni za magadi kuanzia carton 10 na kuendelea. Gharama za materials n.k. Ahsanteni
Back
Top Bottom