Recent content by Mr. Bean

  1. Mr. Bean

    Kuzaa Kwa Upasuaji V/S Kuzaa Kwa Njia Asilia

    - Hawa ni wavivu tu wa kusukuma. - Pia kunakosekana strong bond kati ya mama na mwana . . ule msemo wa "Uchungu wa Mwana Aujuaye Mzazi" unakosa maana. - Sijui dini zetu zinasema nini. Inawezekana ikawa ni kinyume cha maagizo ya Mungu kuwa "Utazaa kwa Uchungu"?
  2. Mr. Bean

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Hayati Mwalimu J.K. Nyerere alituasa sana juu ya mambo ya dini. Fikiria hili, kama Waislamu wakikiubaliwa madai yao ambayo naamini ni Genuine, then: 1. Waislamu Watakuwa na Mahakama ya Kadhi, next litakuwa swala la nguruwe. Mnakumbuka yaliyotokea huko nyuma 2. Wahindu watataka Wanyama wasiliwe...
Back
Top Bottom