Recent content by Mr Bakari Yusuph

  1. Mr Bakari Yusuph

    SoC04 Serikali tusaidieni wasomi kwa kutekeleza mfumo huu

    Ok kidogo hapo tunaweza rekebisha
  2. Mr Bakari Yusuph

    SoC04 Maandiko ya Story of Change yanaafiki hitaji la mfumo wa elimu wa nchi 2025-2030

    Toka mtandaoni UTANGULIZI Nchini Tanzania, Swala sio kutoa elimu juu ya umuhimu wa elimu, wala kutumia nguvu kubwa katka kunadi sera za elimu pekee bali tunahitaji kufanya mchunganuo na uchambuzi bali nguvu ielekezwe kwenye utekekezaji wake ili kuleta matokeo chanya kila mwaka na ni nini...
  3. Mr Bakari Yusuph

    SoC04 JamiiForums iwe tovuti rasmi aminika na serikali ya kukusanya maoni na fikira kwa wananchi juu ya changamoto zinazohitaji utatuzi

    Niwazi ya kuwa serikali iko mbioni kwa hali na mali kuhakikisha kuwa wananchi na watanzania wote wanakuwa sehenu na maendeleo na utatuzi wa changamoto katika jamii Ukuwaji wa democrasia nchini na uhusishaji wa wananchi imekuwa tamanio kubwa sana la serikali nyingi Imekuwa tamanio kubwa la...
  4. Mr Bakari Yusuph

    SoC04 Naomba mnilinde

    Tuwasaidie wanaumia
  5. Mr Bakari Yusuph

    SoC04 Naomba mnilinde

    Chanzo mtandaoni UTANGULIZI Ni watoto wetu ni tegemeo letu la Tanzania tuitakayo hawa ndio wasomi na madaktari wetu Hawa ndio wanajeshi na polisi wetu na hawa ndio wasanii wetu na wachezaji wetu wa miaka ya hivi karibuni .Kwa takribani Miongo kadhaa vyombo vya habari mbali mbali vimeripoti...
  6. Mr Bakari Yusuph

    SoC04 Serikali tusaidieni wasomi kwa kutekeleza mfumo huu

    Chanzo: mtandaoni Tatizo la ajira ndugu wa Tanzania limekuwa janga kubwa sana kwa vijana waliohitimi vyuo mbali mbali nchini ,Serikali inajaribu kifanya juu chini kuweza kupunguza makali yake.Wahitimu wengi wamekuwa wakitapatapa kujikwamua kimaisha kwa kutafuta ajira pamoja na mitaji kwa ajiri...
  7. Mr Bakari Yusuph

    SoC04 Tokomeza adhabu zinazokabili Mazingira yetu kama Dhamana Sahihi ya Tanzania Safi na Salama 2030

    Utangulizi Tanzania ni nchi iliyo barikiwa ecologia na bainuai nyingi ikiwemo ardhi yenye rutuba,Mito mkubwa kama Rufiji,Maziwa pekee ziwa Victoria ,mabonde misitu ya asili kama msitu wa asili wa Amani Tanga pamoja na bahari ya hindi na mengine mengi.Tunategemea mazingira yetu kwa...
  8. Mr Bakari Yusuph

    SoC04 Kurejesha michango ya shule za umma ili kuimarisha Elimu Tanzania

    Ushirikishwaji wa jamii ni msingi muhim ktk maendeleo endelevu ya elimu keep it up brother
  9. Mr Bakari Yusuph

    SoC04 Changes begin with me

    I I a gree with you kiongozi
Back
Top Bottom