Recent content by Mr.Aki

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Mwenye kujua,mzaz wangu anasumbuliwa na maumivu ya magoti,alienda hosptal akaambiwa fluid ya magotin imepungua akapewa dawa lakn bado,naomben ushauri
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mzumbe tayari wametema

    Tcu walichofanya mwaka huu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Imekaaje hii wakuu

    Nimechaguliwa kozi ya BED-Policy planning and management. Je ni nzur kias gan?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu HESLB

    Yani kaka we acha tu,hii ndo tanzania full maumivu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu HESLB

    Sijaomba mkopo mwaka huu kwasababu bod walitoa kigezo kwa aliyemaliza diploma kuanzia mwaka 2011 kurudi nyuma hana sifa ya kupata mkopo,mimi nilimaliza 2011 diploma,,je nikipata koz ileile ya mwaka jana nikienda bodi kupeleka vielelezo vya kutoweza kuripoti chuo je mkopo wa mwaka jana wanaweza...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu HESLB

    Ndugu zangu wana JF naomba ushauri,mwaka wa masomo 2013/14 nilichaguliwa kujiunga UDOM(BED-Policy planning and management) muda wa kuripot ulipofka sikuweza kuripoti kwasababu ya kuumwa,nilipona wakati wa usajiri ulikuwa umekwisha nilipoenda chuo wakasema hata kupostpone haiwezekani niende nacte...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    I like it,
Back
Top Bottom