Recent content by MPW

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna dau la milioni 1 kwa Mjumbe wa Baraza Kuu CHADEMA kumpinga na kupiga kura ya kutokuwa na imani na Heche

    Watu tuliosikiliza hizo audio tunakucheka kimoyo moto. Hapa mtaingia mtini wote muda ukifika
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna dau la milioni 1 kwa Mjumbe wa Baraza Kuu CHADEMA kumpinga na kupiga kura ya kutokuwa na imani na Heche

    Taarifa za uhakika na za moto moto zilizotufikia Jana ni kwamba ni kweli kuna vigogo CHADEMA wamekula Pesa za CCM ili kuivuruga CHADEMA. CCM Walichofanya ni kuwanunua baadhi ya Viongozi wakubwa wa CHADEMA na kuwapa Pesa za kutosha ili kumvuruga Heche anayekwamisha Maridhiano na Samia. Rafiki...
Back
Top Bottom