mafie,babu wa loliondo sio wa serikali ila anachokifanya anaishawishi serikali kumuunga mkono kuponesha magonjwa sugu ambayo serikali yetu imeteseka kwa muda mrefu pasipo mafanikio dunia kiujumla, bado unasema kuna udini ndani yake,umeweza kujitokeza udini ndani ya serikali
pasipo kujua hatima...
Ubalozi wa Israel nchini Tanzania pia upo jijini Dar es salaam posta mpya mtaa wa ohio,na kutokuwa na ubalozi ktk nchi husika sio kigezo cha serikali kujua au kuitambua sababu kuna vigezo ambavyo viliifanya iwe nchi sio kwa ubalozi ktk nchi nyinginezo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.