Wanajamvi naomba mnisaidie kuikumbusha bodi ya mikopo elimu ya juu (HESLB) kutimiza wajibu wake ipasavyo kwa wateja wake(wanafunzi) ambao kihalali iliwaidhinisha kupata mikopo kwa wakati.
Nikiwa mmojawapo wa wanafunzi waliofanikiwa kuidhinishwa na bodi ya mikopo elimu ya juu kupata mkopo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.