Recent content by mpokoloto

  1. mpokoloto

    Mungu nisifikie kukata tamaa

    Uza smartphone ulipe kodi kisha urudi home ukajipange Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
  2. mpokoloto

    Wateja wa Halotel kupiga simu pamoja na kutumia internet bila kikomo kwa shs 10,000/= tu kwa mwezi mzima

    Nimenunua ila ni useless... Speed yake ikiwa juu sana ni 45kbps ila ukianza kudownload inashukaa mpk 0bps. Yani sijawahi angalia video YouTube na sijawahi download chochote kikamaliza. Yani ni upuuzi mtupu nimejuta sana kuinunua. Yaani ni bundle mbaya zaidi kuwahi kutokea tangu kuumbwa kwa...
Back
Top Bottom