Shukrani mkuu kwa ushauri wako hao ngombe 50 nilitaka kununua Kama ndama niwakukuze Mimi
Pia kuhusu sehemu ya kununua nilitaka kununua kwenye vyuo vya kilimo na ufugaji Kama sua na vinginevyo au kwenye lunch za serikali maana watu binafsi sio waaminifu
Swala la eneo hizo ekari tano Ni ujenzi...
Sikupingi mkuu Ila kwa shule na huo mtaji mbn ni mdogo alafu pia nimechaguo huo mradi kutokana na interest zangu nitamudu
Lakini pia hata kimapato naona Kama maziwa italipa zaidi
Lita 1500 kwa siku na lita moja wastani niuze sh 1000 mara lita 1500 naona italipa zaidi japo bado sijajua...
Wakuu nawasalimu
Wakuu nimeona fursa katika biashara ya maziwa natamani sana kufanya biashara hii
Biashara hii haswa natamani kuwauzia viwanda vinavyo sindika bidhaa hii Kama vile Asas , tanga fresh ,shambani milk na vinginevyo hata vidogodogo vyenye uwezo wa kuchukua kuanzia lita 50 Hadi 100...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.