Huyu jamaa amekuwa akijilimbikizia mali kila kukicha. Kila kona ya nchi hii ukiona jengo zuri ni lake, ukiona kituo cha mafuta na ka-supermarket ni chake, ukiona magari (malori) yakipita barabarani ni yake. Sasa najiuliza je akifa ataenda na hizi mali zotee anazohangaika nazo hapa Duniani au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.