Recent content by mpiga era

  1. mpiga era

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    TANESCO muwe mnakata umeme mechi za hivi kama mlivyofanya hii mechi
  2. mpiga era

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Uzuri cameroon tunaifahamu nilisema toka mwanzo Hawa cameroon hamna ni bola waondoke ona wanatutia aibu Tusimame na ghana na morroco
  3. mpiga era

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    litasawazishwa[emoji23]
  4. mpiga era

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Tanesco washafanya yao[emoji23]
  5. mpiga era

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Cameroon na serbia Cameroon wachezaji ni wazito Hawana mbio Hawana chenga Sio hatari katika lango la timu pinzani Cameroon nafasi ishirini anafunga moja Sioni maajabu ya cameroon
  6. mpiga era

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Ujerumani wataliwa kimaskhara kama ule uzi
  7. mpiga era

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Spain wameishiwa nguvu au walikua hawaamini kama wamefunga ujerman[emoji23][emoji23][emoji23]
  8. mpiga era

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Mimi sijui ayo nachojua ni upinde Maana wao wamejipromote kabisa
  9. mpiga era

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Piga mashogaaa Piga mashogaaa Piga mashogaaa Piga upindeee Safi sana spain
  10. mpiga era

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Mechi ijayo Bila droo au ushindi Morroco hatofuzu
  11. mpiga era

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un for canada
  12. mpiga era

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Unazungumzia strait of giblatar Pale wanasema ukiweza kuogelea tu inafika ulaya hapo
  13. mpiga era

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    TANESCO wamepita na nishati yao
  14. mpiga era

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Croatia anakibarua ameshaonjwa
Back
Top Bottom