Mkuu waweza kuwa msaada wng about this issue. Nime practice vya kutosha kwenye Dome account ya MT4 na IQ option for about 3 months. Now I wish to Trade via Real Account. Pls naomba contact zako mkuu ili uweze kunisaidia kuopen real account in MT4 na kuiunganisha na broker TemplerFX
H
May be hili tatizo pekee yangu. Nilivyo open Live account kwenye TemplerFX walinitumia links zao kwenye email yang za kuniwezesha kudownload trading platform via play store. Unavyosema unapewa Log in details sijakuelewa mkuu naomba msaada wako
Kwa wale wazoefu TemplerFX. Nime deposit some amount into real account ya TemplerFX via MPESA. Nawezaje kuamisha hiyo amount kwenye kwenye real account ya MT4 ili niweze Kutrade??
Pls I need your help
Asante kwa kunigusia hapo. Wakati naji register real account ya MT4 pale kwenye Ku add account sikukuta option ya kuji register Real Account badala take kuna option 2 tu yaan Register into Demo account and Login into pre existing account illa wanasema "to register into real account contact...
Mh nashukuru sana kwa kunifumbua macho. Naomba msaada wako juu ya hili. Je ni broker gan mzur wa kuchagua wakat wa kuji register real account kwenye MT4? Je uki deposit ela via Mpesa kwenda kwenye kupitia TemplerFX universal live account inaingia moja kwa moja kwenye MT4 account?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.