Ni wiki ya 3 sasa toka maji yakatike maeneo ya Bonyokwa Mwisho Mtaa wa Tembo. DAWASA mpaka sasa wako kimya wala hawajatangazia wananchi shida ni nini na maji yatarudi lini.
Niwasihi DAWASA warudishe maji ama laa watuambie ni lini maji yatarudi. Maana Bill za maji tunatumiwa, tunalipa ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.