Wakuu za Muda, kwa Mtu aliyetumia Parimatch. Msaada Kuhusu Withdrawal na Deposit wako Fasta?
Na Je wana Games za Kutosha au nao Ka Betpawa wanabana baadhi Ya Games?
Msaada
Wakuu naomba official mail ya 1x wanayo respond to client complaints tofauti na ile ya info. Maana Mechi ya Beitar Tel Aviv imehairishwa lakini hawaja I settle katika Mkeka wangu.
Mwenye kuweza nisaidia nitashukuru
Nadhani Heshima ni kitu cha Msingi sana, mm niliandika ki staarabu Bila Kumkashifu muuliza Swali. Niliamini kupitia google unapata more than one link inayoelezea same issue.
Haina shida kikubwa nilidhani kujiongeza ni vizuri. Ila all in all jifunze kuheshimu usiyemfaham maana unatumia insulting...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.