Recent content by Mpamila

  1. M

    Kwa wale wenye tatizo la kusikia tupeane ushauri mbinu za matibabu na changamoto tunazokabiliana nazo

    Shukrani sana mkuu ,oral hapo kunisaidia ndiyo inakuwaje au ninawaambia kuwa nina tatizo la kusikia?
  2. M

    Duh mwamba kakutwa kiwili wili tu, kichwa hakipo!

    Mtikila alimkosea nini PK
  3. M

    Kwa wale wenye tatizo la kusikia tupeane ushauri mbinu za matibabu na changamoto tunazokabiliana nazo

    Mule mule hii hali inanifanya nijihisi inferior mbele ya watu ,nimekuwa mtu wa kujifungia sana ndani kwa sababu ya kukwepa kuongea na watu ,sipendi kuongea na cm ,sasa imefikia hali ambayo naona ni vyema kukaa peke yangu ili nipate peace of mind ila badp nikienda sehemu kama bank, hospital...
  4. M

    Kwa wale wenye tatizo la kusikia tupeane ushauri mbinu za matibabu na changamoto tunazokabiliana nazo

    Kuna muda nikikata tamaa huwa najiuliza kwani Mungu nilimkosea nini mpaka niteseke kiasi hiki? Ila nikikaa na kufikiri kuwa kuna watu wanamatatizo makubwa zaidi yangu nabaki tu kushukuru kwa yote 😥
  5. M

    Kwa wale wenye tatizo la kusikia tupeane ushauri mbinu za matibabu na changamoto tunazokabiliana nazo

    Nikichogundua pia sisi watu wenye haya matatizo tunatakiwa kupata pia msaada wa kisaikolojia😢
  6. M

    Kwa wale wenye tatizo la kusikia tupeane ushauri mbinu za matibabu na changamoto tunazokabiliana nazo

    Same to me mkuu inabidi kucheza na lip syncing tu ,sometimes sielewi kitu naishia kutabasamu tu maskini 😢
  7. M

    Kwa wale wenye tatizo la kusikia tupeane ushauri mbinu za matibabu na changamoto tunazokabiliana nazo

    Ulisomea kozi gani mkuu ,hali uliyonayo ni kama yangu naumia sana kwa ndani 😥
  8. M

    Thread ya kuomba ushauri nasaha kuhusu tatizo la kiafya linalonisibu kwa muda mrefu sasa

    Ahsante sana mkuu kwa ushauri wako, nitaufanyia kazi 🙏
Back
Top Bottom