Recent content by Mpambanaji huru

  1. M

    Natafuta kazi yoyote. Nina elimu ya kidato cha sita

    nimesoma masomo ya arts niko dsm mombasa ukonga
  2. M

    Natafuta kazi yoyote. Nina elimu ya kidato cha sita

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 natafuta kazi yoyote ile nina elimu ya kidato cha sita wenye ufaulu mkubwa. Nilikua nasoma chuo ila nikasimamisha mwaka 2019 kutokana na hali ya kifedha ilionikwamisha Nina experience ya kazi sales and marketing kwa miaka mitatu katika kampuni tofauti...
Back
Top Bottom