Recent content by MP-K

  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu analo Jina? Jina lake ni lipi?

    Mungu jina lake anaitwa Yehova kwa wakristo, Mungu ni cheo kama unavyoweza ukamuita mtu kwa cheo chake,
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Dar, wakiwaona wazee kwenye daladala, wanajifanya wamelala

    Na ninyi vijana ni wazee watarajiwa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nipo Mtwara, serikali ni kama imeususa kabisa huu mkoa. Nimepamiss Dar Es Salaam!

    Dada, mm naona huna pesa za kutosha, peaa unazo ila sio za kutosha!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu

    Dar es Salaam. Kwa utafiti mdogo. Ambao sihitaji ruksa ya mitume na manabii kuniruhusu niseme. Huu ni utafiti wangu binafsi. Nimetumia miaka kadhaa ili kuukamilisha na kimsingi kazi hiyo imeisha na sasa naleta kwenu. Nimegundua waalimu huolewa haraka sana. Na pia huolewa kwa wingi tofauti na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la Kudumu la Mgogoro wa Maziwa Makuu (Rwanda, Congo et al) ni kutenga na kupata nchi ya hao waliopo hapo sasa (North Kivu)

    Hakuna kabila linaitwa Watutsi wala Wahutu. Kabila lazima liwe na lugha yake. Hakuna lugha ya watusi. Watusi na Wahutu ni madaraja ya kijamii ( social classes). Madaraja haya utayakuta eneo lote la interlacustrine – Banyarwanda, Barundi, Baha, Banyankole, Bamushi, Basubi, Banyambo nk. Je Jamii...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la Kudumu la Mgogoro wa Maziwa Makuu (Rwanda, Congo et al) ni kutenga na kupata nchi ya hao waliopo hapo sasa (North Kivu)

    Sorry I mean M[emoji239[emoji2388]][emoji[emoji239[emoji2388]]39[emoji2389]]
  7. M

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la Kudumu la Mgogoro wa Maziwa Makuu (Rwanda, Congo et al) ni kutenga na kupata nchi ya hao waliopo hapo sasa (North Kivu)

    Mm nashindwa kuelewa, rais wa Congo wanamshinda wapi hawa M23, mbona sisi Idd Amin Dada alijaribu kuivamia ardhi yetu tukamsambaratisha mara moja, jeshi la Congo linashindwa nn mpaka linachezewa chezewa na hawa M22?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kulipa Mahari kwao Ndipo nimegundua ana Majini

    Muache haraka sana, samehe mahali, endelea na maisha yako, please muache usisumbiliwe na mahari, Tena ni mapema sasa na hamna mtoto, so muache as early as possible, usijitengenezee majuto huko mbele ya maisha!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuna wengine hatujui tulipokosea

    Maisha ni maamuzi, ili mtu aishi hapa duniani sio lazima awe ameoa au ameolewa, mtu aishi vipi hapa duniani ni maamuzi yake na wala hakuna kanuni ya kuishi, So kuishi single sio dhambi kwa mwanaume na mwanamke, cha msingi usimkwaze mtu katika u-single wako!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuna wengine hatujui tulipokosea

    Dav anasali au kuswali popote, Binadamu yeyote kama anamwamini Mungu na akawa serious na Mungu lazima afike mahali abadirike tabia, kwa Mungu hakuna lisilowezekana. Kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa, maisha yetu haya hapa duniani hatuwezi lolote bila Mungu. Kumcha Mungu, kwenda...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuna wengine hatujui tulipokosea

    Hapa duniani huji kutana na binadamu asiye na mapungufu, japo mapungufu yanatofautiana!! Simu imesajiliwa kwa jina la mtu, ww unahangaika na simu ya mtu mwingine ili iweje? au mtu ahangaike na simu yako ili iweje? Unamvizia mwanaume ili iweje? au yeye akuvizie ili iweje? Wanaofanya mahusiano...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuna wengine hatujui tulipokosea

    Mm naona dada kuna mambo unatakiwa uyaache ili uishi na binadamu hapa duniani, deal na mambo yako tu, unapoanza kufuatilia simu za watu, na vitu vingine ndo hapo unapoharibu mambo, utajikuta unaishi kwa stress siku zote na binadamu wote utawaona hawafai isipokuwa wewe!
Back
Top Bottom