Jaribu kuwazingua voda, ongea na mwakilishi wao direct umuulize ni vipi mbona transaction waliyokupa unaambiwa doesn't exist, kwanzia hapo utaanza kujua chakufanya kwasababu ni ngumu kupata maelezo kutoka heslb
Hv hyo mwaka ndo maximum time au hata miaka miwili inawezekana? Na vipi mfano mtu alitransfer kutoka facult ya kawaida yenye 0% akaenda engineering inakuwaje kuhusu asilimia zake? Zitaongezwa au kama kawaida atakomaa na 0% yake??
Mkuu naona itakuwa umechanganya madawa ebu irudie tcu transfer vzur utaona, cheki 2(iv) alafu uangalie na tena 4, ungeelewa kuwa haikuwa na umuhimu wa kuweka namba 4 kama ingekuwa inamaana ya maelezo uliyoyatoa
Tanzania Commission for Universities Transfer Procedures 1. Introduction TCU had...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.