Pia kwa upande wa ajira imekuwa ni chachu kubwa ya Vijana wengi kuwa na matendo maovu mtaani. Hali ya kuwa tunaamini kwamba chanzo moja wapo Cha maendeleo ya nchi yeyote ile ni ajira kwa watu hivyo Tanzania ingejidhatiti kutoa ajira kwa uyakinifu pengine nchi hii ingepiga hatua ya kimandeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.