Recent content by moxx300

  1. M

    Msaada: Taa ya indicator haizimi

    Habari jamani? Gari yangu aina ya Raum 2nd gen taa yake ya indicator ya kulia haizimi automatically, vile ukikata usukani upande wa kushoto ni mpaka uizime wewe mwenyewe dereva. Mwenye uzoefu wa hili tatizo msaada wa solution yake wadau.
Back
Top Bottom