Recent content by Movivace

  1. M

    UDOM Admission Letters: Kipi kinaendelea

    Ni jana asubuhi mkuu,Jaribu kuangali mara kwa mara huenda ukaikuta hyo section. Ingia now mkuu.
  2. M

    mzumbe

    Hahahahahaha......
  3. M

    Udom siwaelewi kabisa

    Ni kweli lakini hyo changamoto haijaanza tu kwenye round ya 3 bali toka system yao ilipoanza kusumbua kwenye round ya pili na kutoa maelekezo ya kuwa machine yao inasuasua kwenye kutoa control# kwa wakati ndipo ikatokea hyo system mpya ya kupita tu bila kulipia. Najua unahofu ya kwamba "kama...
  4. M

    Course ya anthropology

    Sahihi mkuu,lakini changamoto inakuja kwa kuwa kila mtu ana mtazamo wake mkuu. Nashukuru kwa kuzidi kuwahamasisha wataalamu.
  5. M

    Course ya anthropology

    Ni kweli mkuu, nashukuru pia.
  6. M

    Ulizo:

    Iko hivo,na kwa kulithibitisha hilo walitoa taarifa kwa wale waliochaguliwa awamu ya kwanza, siku ya tareh30.08 waende kwenye INTERVIEW na walienda......Hii iinaonyesha kabisa kuna suala la mchujo unapita licha ya kuwa admitted.
  7. M

    Ulizo:

    Kama ameomba second round basically majibu hayajatoka mpaka tar07 sept....... na kama amekuta ivo kwenye dashboard yake basi itakuwa hakuchaguliwa kwa round ya 1,hivyo baada ya kufungwa kwa round ya kwanza huwa wanakariibisha re-application for the 2nd round. Hapo muulize vizuri kama alire-apply...
  8. M

    Course ya anthropology

    Samahani wakuu naomba msaada kwa yeyote anayeielewa course ya Bachelor of arts in anthropology,misingi yake na hatima yake baada ya kuisoma unaweza kuja kuwa nani? Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom