Recent content by Moudrick Lukindo

  1. M

    Msaada wa tiba ya malengelenge eneo la kiunoni mpaka kitovuni

    Habari wakuu. Nini tiba ya malengelenge ama vipele design kama vinaeka maji hivi kwandani maeneo ya kiunoni mpaka sehemu ya kitovu na maumivu yake kwa ndani ni makali sana kiasi kwamba hakuna ushirikiano seheme ya juu kichwani na miguu?
Back
Top Bottom