Recent content by Moto wa volcano

  1. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Hakuna siku ngumu kwa mzazi kama ya kumpeleka shule mtoto kwa mara ya kwanza

    Masista walijua kumteka wana mbinu za kuwa win watoto
  2. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Hakuna siku ngumu kwa mzazi kama ya kumpeleka shule mtoto kwa mara ya kwanza

    Hizo boarding zinaua bond ya mzazi na mtoto
  3. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Hakuna siku ngumu kwa mzazi kama ya kumpeleka shule mtoto kwa mara ya kwanza

    Hongera sana it seems your so proud of your childhood na mshua wako
  4. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Hakuna siku ngumu kwa mzazi kama ya kumpeleka shule mtoto kwa mara ya kwanza

    Vipi wewe ulikuwa na tabia hizo au kachukua kwa mama yake ?
  5. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Hakuna siku ngumu kwa mzazi kama ya kumpeleka shule mtoto kwa mara ya kwanza

    Hhhh wengine shule tulikuwa tunaona kama azabu ukikumbuka entertainment za nyumbani , Mzee alikuwa ananitania usipoenda shule utakuwa unasomewa barua
  6. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Hakuna siku ngumu kwa mzazi kama ya kumpeleka shule mtoto kwa mara ya kwanza

    DuuhhMzazi unatoa technique za mapambano , bravo
  7. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Hakuna siku ngumu kwa mzazi kama ya kumpeleka shule mtoto kwa mara ya kwanza

    Hhhh karibia kila mtu ana story kama hizo , day one huwa inawapa tabu sana watoto
  8. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Hakuna siku ngumu kwa mzazi kama ya kumpeleka shule mtoto kwa mara ya kwanza

    Hhh hpn sio kuhusu kumdekeza , mtoto wa miaka 3 / 4 ambaye hajawahi kujichanganya na watu wengine huwa day one lazma impe tabu , mi mwenyewe nakumbuka kipindi hicho naanza shule ilikuwa ngumu sana maana nilizoea kukaa hone kucheki movies tena siku ambayo naanza shule picha la terminator ndo...
  9. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Hakuna siku ngumu kwa mzazi kama ya kumpeleka shule mtoto kwa mara ya kwanza

    Kama nikiiacha kwa watu ninao waamini inawezekana , hofu inakuwepo ukiiacha kwa watu usiowaamini
  10. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Hakuna siku ngumu kwa mzazi kama ya kumpeleka shule mtoto kwa mara ya kwanza

    Sana , mazingira ya shule kwa watoto yana changamoto haswa uswazi skuls
  11. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Hakuna siku ngumu kwa mzazi kama ya kumpeleka shule mtoto kwa mara ya kwanza

    Huwa ni siku ngumu sana kwa mzazi kumpeleka mtoto shule kwa mara ya kwanza , umeshakaa na mtoto miaka 3 / 4 hajazoea na haujazoea mtoto kukaa na watu baki , yeye amezoea kukaa mazingira ya nyumbani na wewe umezoea kumuona akiwa home muda wote . So day one inakuwa ngumu sana watoto wengi wanakuwa...
  12. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

    Kabisa kuna askari hawana busara imewahi kunitokea askari wa barabarani alichomoa ufunguo wa gari langu halafu nikamfwata kumsemesha akawa hanijibu akanikalisha masaa ikabidi nijiongeze ndo nikachomoka pale . Usipoweza kujizuia hasira ndio yanatokea kama hayo
  13. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Hakika Gta 6 itanirudisha kwenye Games..

    Rockstar hawabahatishi wapo vzr ila huwa wanachelewa sana ku release Games zao
  14. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania I love Indian culture wanapenda sana family Gathering kila jioni

    Kumbe na ww fundi . Basi hapo sawa ngoma drooo
  15. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania I love Indian culture wanapenda sana family Gathering kila jioni

    Nakuombea tu uwe umezungukwa na watu wazuri , kama ni wenye wivu na ni wanga . Epuka hiyo life style
Back
Top Bottom