Katika Jiji la Mwanza eneo la Mkuyuni karibu na Nyegezi Kona, kuna kundi la Watu wanajitambulisha kuwa ni Askari Polisi wakiwa hawana sare wala vitambulisho wanakamata Pikipiki (bodaboda) zisizokuwa na Namba (plate Number) na kuwapeleka wahusika ofisini kwao.
Wanazifunga kwa cheni na kufuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.