Mkuu wa Idara ya PMU Kondela anastaafu mwezi wa Saba 2023 ,ili kuendeleza Ufisadi anayechukua nafasi yake anatoka Mamlaka ya Majisafi Morogoro ( Moruwasa) wakati AUWSA kuna Vijana wenye Sifa za Kuwa HMPU
Huu ni uthibitisho tosha mtandao wa Ufisadi Uliopo AUWSA ni wa Waziri Aweso ,Katibu Mkuu...
AUWSA inatumia Pesa nyingi sana Kuzima hii Kashfa
Wametumia Tzs 98 Milion kumpeleka Arusha Mkurugenzi wa Habari maelezo Ndg Greyson Msigwa Arusha ili atulie
Wametumia tzs 67 Milion kumpeleka Arusha Balozi hewa wa Maji Msanii Mpoki
Waziri Aweso aliitisha kikao cha wafanyakazi wa AUWSA na...
Mradi wa Water Blending System Umesima, Kwa sasa wakazi wa Arusha wanakunywa Maji yenye Fluoride nyingi na Chumvi nyingi ambayo ni hatari kwa Afya ya Binadamu
OCD Arusha hacha Kunyanyasa Raia ,Rudisha simu ya Eng Tarimo…Mmemweka Ndani ( Selo) amelala Siku tatu kwa maelekezo ya Rujomba kuwa yeye Ndiyo Moshi Town anatoa taarifa za Ufisadi Jamii Forums ,Mmemnyanganya simu yake.. Mmemweka Lock Up ( Selo) Siku tatu
Nasema kwa Sauti kubwa mrudishieni Eng...
AUWSA imegeuzwa Shamba la Bibi kuna wakaguzi wapo wanaitwa Reliable Consultant ni mafisafi wapo AUWSA toka 2018 hakuna ukaguzi wanaofanya wa
Maana wanashinda Bar ya Ken Garden muda wao wa kukaa Arusha ukiisha wanatishia kuwa wana hoja wanavuta mpunga ( Rushwa) wanasepa,
Ni nani ataiokoa AUWSA...
Wakazi wa Mkoa wa Arusha wanakunywa Maji yenye Chumvi na Fluoride Nyingi kutokana na Ufisadi wa Eng Rujomba.
Mradi wa Water Blending System for Fluoride Wenye Thaman ya Tzs 36 bilion Umesimama kutokana na Mfadhili AFDB kugoma kutoa Barua ya No Objection ( Kuruhusu Mradi uendelee) Baada ya...
Tuliamua kukaa kimya ili kutoa Fursa kwa vyombo vya Dola kufanya uchunguzi ,inasikitisha sana PCCB Arusha wameshindwa kukamata Mafisadi walioaaini huu Mkataba wa Bilion 36
Mheshimiwa Waziri Wa Maji Juma Aweso tuna taarifa Kesho utaongea na Watumishi wa Mamlaka ya Maji AUWSA Watanzania watapenda kujua Umechukua hatua gani dhidi ya waliofanya Ufisadi AUWSA.
Mkataba Kati ya na AUWSA ulisainiwa tarehe 9 Oktoba,2018 na alianza Ujenzi rasmi tarehe 09 Disemba, 2018...
Vyombo vya Dola penyezeni Vijana wa kazi Kesho kikao cha AWeso na Watumishi wa AUWSA kitafanyika Jengo Jipya la AUWSA Kisongo
Kesho waziri Aweso atakuwa Arusha kukemea watumishi wa AUWSA kwanini wanatoa taarifa za Ufisadi, Mheshimiwa Waziri hawataki watumishi wanaopambana na ufisadi...
Waziri Aweso uwa unajifanya mtetezi wa Wanyonge kwanini huu Ufisadi wa AUWSA unashindwa kuchukua hatua ?
Au na wewe ni msharika wa huu Ufisadi? Ulimsimamisha Manager wa RUWASA Mkoa wa Tanga kwa tuhuma za Tzs 12 Milion unashindwa nini kuchukua hatua Ufisadi wa Tzs 36 Bilion AUWSA?
Mheshimiwa Waziri Wa Maji Juma Aweso tuna taarifa Kesho utaongea na Watumishi wa Mamlaka ya Maji AUWSA Watanzania watapenda kujua Umechukua hatua gani dhidi ya waliofanya Ufisadi AUWSA.
Mkataba Kati ya na AUWSA ulisainiwa tarehe 9 Oktoba,2018 na alianza Ujenzi rasmi tarehe 09 Disemba, 2018...
Uchunguzi umulike kamati ya Uchunguzi iliyoundwa na waziri wa Maji ikiongozwa na Dr. Nditi wamelipwa Posho mara mbili , Wamelipwa Posho na Wizara ya Maji na AUWSA pia imewalipa,
Waraka wa Serikali wa 2016 unataka Malipo yote yanayofanywa na Taasisi za Serikali zipitie Bank.. Dr. Nditi na team...
Tunapongeza Vyombo vya Dola kwa kuanza kufanya uchunguzi.. Pongezi Zetu za dhati ziwafikie Admnin wa JF , Member wote wa JF , Kamanda wa PCCB Arusha ,Ofisi ya Mkurugenzi wa PPRA,na Vyombo vyote vya Dola ambavyo kwa namna Moja ama Nyingine wameshiriki kuchunguza Upotevu wa zaidi ya TZs 36 bilion...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.