Recent content by moshi jr 01

  1. M

    Nifanyeje kuzuia msingi wa nyumba yangu usiingie maji?

    Mvua ikinyesha maji yana tuama
  2. M

    Nifanyeje kuzuia msingi wa nyumba yangu usiingie maji?

    1.udongo ni tifutifu alafu ni mweusi. 2.ndio maji yamatuama 3.amna chanzo cha maji 4.ndio nyumba zipo zilizo titia 5.ndio ni njia ya maji ya mvua 6.yani ikinyesha mvua kubwa alafu ikakata . Na jua likawaka kali inachukua siku nne hadi tano kukauka kabisa
  3. M

    Nifanyeje kuzuia msingi wa nyumba yangu usiingie maji?

    Nataka nijenge sasa nimechimba msingi lakini umejaa maji. Nitumie njia gani ili nijenge msingi na usipate madhara.
Back
Top Bottom