:angry:Acha kuropoka wewe. Nani kakuambia huduma yake ilikuwa duni? Sisi ndugu ndio wa kuongea, heshima ni kitu cha bure. Kifo kipi ni cha raha wewe punguani? Rest your 'ASS':yell: in peace.
udhalilishaji unaouzungumzia ni upi hapa? mi sioni kama wanawake wanadhalilishwa wakati wenyewe ndio wanaoamua kukaa uchi, wanajidhalilisha wenyewe. Ushaona wanaume wa kibongo from wanenguaji to whoever anakaa uchi kipumbavu? Nadhani umefika muda wanawake wajiheshimu, wapo so insecure kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.