Recent content by Moses Mataba

  1. M

    Kama kweli Mo Dewji kamuuza Chama katukwaza wana Simba

    Ni kweli kabisa, Fedheha ambayo Mo kampa CHAMA, bora ajiondokee tu. Huwezi kumuaibisha vile mtu hadharani. Pia sjawahi kuona Boss wa timu anafatilia wachezaji wake kwa kiasi cha kuwaaibisha hivyo. Hata kama deal la CHama lilikuepo tangia awali, Lakini kitendo cha MO ndio kimeleta chachu ya Chama...
  2. M

    Simba yamuuza Clatous Chama nchini Morocco

    ACHA PROPAGANDA WEWE
  3. M

    Simba yamuuza Cloutous Chama RS Berkane kwa Bilioni 1.5 na mshahara wake wapanda kwa 400%

    Mimi nadhani C.C Chama kuondoka Simba kafanya kwa sababu ya matendo ya Boss wetu ambayo hayana Busara ndani yake. Kwa mtu anae fatilia page ya Chama Instagram, Chama aliahidi ana deni Simba. Nalo ni Champions League. Ndoto hii imekatishwa na majibu ya Boss wetu alivo attack LIVE conference ya Chama
Back
Top Bottom