Kweli kabisa anafaa sana kuwa rais wa wachaga. Ni kipindi kirefu sijawai kusikia rais wa wachaga.. maana wapo marais kibao kama rais wa manzese, rais wa masharobaro, rais wa wasafi nk. Keep it up Baba freelady. Plz we need Freeboy.
Muweke baba yako awe waziri mkuu basi pengine ni super.. na kama ni super siju kwanini analima nyanya huko aliko..
Ni fikra fupi kama nyusi kwakua pamoja na mabaya yake uliyosema yapo mazuri mengi mengi sana kafanya kwenye nchi hii bahati mbaya wewe hujayaona.. tumezoea wendawazimu wanahukumua...
Kuna watu wanaongea Pumba sana humu halafu wanahiona wako very inteligent.. fikra za urais 2015 ndio zipo vichwani mwa wengi. Pinda kinamponza kuta gaza nia.. kama ipo ipo tu viva Pinda.
Namm nakujibu kwa swali angezuiaje??? Kwakua mwizi akiamua kuiba anaweza iba wakati wowote je wewe unapoibiwa hua unajihukumu mwenyewe kwa uzembe wako wa kuibiwa.?????
Nadhani pia unamaanisha Pinda hayumo kwenye wala pesa. Je unadhani kujiuzuru kwake pesa itaridi?? Je akina chenge na wenzake wanawajibikaje wakati ndio waliokula pesa? Bado nafikiri tena hili umecomment kwa jicho la 2015. Ishu tunataka hela zirudi sio mambo ya kushindwa kusimamia angewezaje...
Ishu tunataka pesa sio kujizulu haisaidii sana, kupata pesa walizokula watajwa ndo la msingi.. huko kujiuzulu kunaletwa na wale wenye macho ya 2015, na si maslahi ya wananchi.. Pinda hana tuhum ya kula hela kosa lake nini iwapo mwanasheria mkuu ndio alikua na ushauri kama mwakilishi wa serikali...
Ishu tunataka pesa sio kujizulu haisaidii sana, kupata pesa walizokula watajwa ndo la msingi.. huko kujiuzulu kunaletwa na wale wenye macho ya 2015, na si maslahi ya waNanchi
Hili duala la escrow watu wengi wanakurupuka kushutumu kila tu yaani mtu akijiskia kushutumu yeyote anashutumu tu sasa nini nasema Hata baba yangu mzazi kaingiziwa dola milioni kumi anayebisha namtumia ushahidi. Siasa za chuki zimetumika sana juu ya hili. Mimi nasema kabisa hizi ni vita za urais...
Halafu mimi najiuliza hili swali Kafulila anadai bunge ni chombo cha mwisho cha maamuzi anasahau yeye na Zito kabwe wanapumua bungeni kwa nguvu za Mahakama? Pinda akisema uhuru wa mihimili wanaguna. Hawa wanaoguna wanatumia nini kufiri? Wasome ibara ya 107A ya katiba wajue nguvu ya mahakama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.