~hii ni kweli kabisa mtandao ni kitu ambacho sasa tunatumia kila siku, tunaomba Serikali iliangalie Hilo...inatupotzea pesa Sana hasa wanafunzi(University).
Mnataka tujiajiri wenyewe, pesa yote inamalizika kwenye bando..hizo pesa za kujiajiri tunazitoa wapi???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.