Recent content by montecarlo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Heri ungesema tuwe makini na FC BASEL, maana cku hz wamekua rojorojo kweli
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Game ya Arsenal na Westham tuwe nayo makini! Moyes anapenda kukamia tim kubwa... Ingawa sijui kama arsenal tunaichukulia kama tim kubwa siku hizi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ila tim za belgium ni kichomi, unajikuta unalazimika ku cashout, goli linaenda kupigwa dk ya 97
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Uki share au usipo share kipigo kipo pale pale... Tena bora ushare humu, unaweza kupata ushauri...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Angalia H2H ya napoli na hao empoli, yaani usipoweka over 1.5 utakua mwehu! Basi tu wameamua leo iwe hivo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tim zingine ni kama zimelogwa, kabaki yy tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Napoli akishindwa kupata goli, anakaa kwenye blacklist
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Muwekee, Simba hana mpira wa kumfunga yanga kwa sasa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Strategy ipi tena? Tulishaelekezwa tuwe tunatafuta odds 1.2 hadi 1.4 unaweka hela kila siku ile ulioshinda, kwa siku 30 ukienda hivo utakua na 6mil... Nilifika 245,000, nikazitoa, naanza upya... Maana inahitaji uvumilivu wa hali ya juu, vishawishi ni vingi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Asee, napoli na leceister watauana huko... Game za leceister unaweza shawishika uweke milioni game itoe over 1.5... Maana kufunga wanajua, kuzuia hawajui
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    C ulisema ww ni mchambuzi mzuri, cc wengine hatujui kubet? Vp hali inasemaje huko! Inanyesha au bado jua ni kali?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Una utani mwingi sana
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kanji nadhani huwa anapiga cm, unaweza kuta imebaki tim moja tu, wote tushinde, unashangaa mauzauza
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Au Sancho asianze kabisa... Huu utabiri wa mchezaji mmoja mmoja ni hatari sana
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bado ni asubuhi sana
Back
Top Bottom