Recent content by Monko

  1. M

    Biashara ya Uchawi Tanzania

    Biashara hii ya uchawi kwakweli sasa imekua dili sana kwa ndugu zetu wa kila rika yaani sio wazee,vijana na hata watoto hivyo mi nafkiri source ya ongezeko hili ni imani finyu kwa mwenyezi Mungu,tamaa ya utajiri wa haraka,ugumu wa maisha,mifarakano ndani ya ndoa,tamaa ya uongozi,mila potofu za...
Back
Top Bottom