Recent content by monjustboy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maskini mimi,naijutia nafsi.nahisi nishaliwa kichwa/nishadisco at sokoine university of agriculture

    Umevuna ulichokipanda kijana.. Njoo upige debe kitaa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale mnao enda kusomea UALIMU,someni hapa.

    Mbona huku kuna mwalimu tena wa shule ya msingi na hana kazi nyingine lakini amejipanga vizuri kimaisha yeye na mke wake wote ni walimu tena wa shule ya msingi..unatakiwa ujue namna gan utafanikiwa kimaisha sio kuanza kuponda kazi ya ualimu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je umechaguliwa course ya ndoto yako?

    nitakapomaliza education ya informatics and mathematics nakujiunga na jeshi basi ndoto itakamilika
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wale wa Sua tufahamiane humu

    Thanx mtoto wa kunyumbu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wale wa Sua tufahamiane humu

    Thanx brother Jimmy
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wale wa Sua tufahamiane humu

    Mimi nipo education (informatics&mathematics ) je ntaenda main campus or mazimbu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli au watu wanazusha!

    unajua kila ki2 ni kigumu kama huna malengo nacho na hujakipenda basi utateseka...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bwana HESLB anakuja.!

    Wewe huijui bodi ukipata mkopo mshukuru haijalish Priority. Mm mwenyewe nilikuwa Nimechaguliwa Mathematics na wameninyima
Back
Top Bottom