bado hujaona walichofanya
elimu pia bado hujaona walichofanya serikali ya ccm
kuhusu maji pia wameweza bado unalalamika nini,ulitaka serikari wakupe mke na nyumba ndio ujue wameweza? #hapakazitu
Acha kupotosha umma wewe huyo masha alifika hapo kituoni usiku na akapewa taarifa kwamba kwa mda huu huruhusiwi kisheria kumtoa mtu mahabusu yeye akaanza kutoa maneno ya ajabu na kuongea kejeli ndipo police wakaamua kumuweka ndani kwa kulidharau jeshi la police na kufanya fujo
Na wahame tu maana dawa yao iko jikoni ngoja Dr magufuli aingie madarakani lazima waeleze hizo pesa wamepata wapi na wasipotoa maelezo ya kutosha vizuri watarudisha na kufungwa juu.
CCM ndio hiyoo kwenye ubora wake #hapakazitu #huyundiokurayangu #mwanamkeshujaa ndio habari ya uchaguzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.