Recent content by MONGATE

  1. M

    Interview ya gepf udsm hali ni mbaya sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    Ni kweli katika interview watu siku zote wanakuwa ni wengi sana hii yote ni matokeo ya jinsi gani graduates tulivo wengi katika utafutaji wa ajila japo pia ni jukumu la kila mmoja wetu kujiandaa katika mapambano hayo ya kutafuta ajira.Kweli vijana wenzangu hali ni ngumu sana.
  2. M

    Sensa

    Wale wote mliopata nafasi za kazi katika ukarani wa sensa ya watu na makazi Tanzania 2012 ni jukumu zito sana mlilopewa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,hivo ni vema mkafanya kazi kwa bidii katika kuhakikisha zoezi hilo linakamilika kwa kiwango kizuri.Lakini pia ni jukumu letu sisi...
  3. M

Back
Top Bottom