Recent content by Money gang

  1. M

    Nafikiria kukopa kisha kuweka dhamana vyeti vyangu!

    Bora wewe unataka kuviweka dhamana uchukue mkopo,mi natamani hata kuviuza maana hakuna kitu vimenisaidia
  2. M

    Biashara ya urembo wa magari (Car accessories)

    Habari za majukumu wapambanaji wenzangu. Nipo kwenye hili jukwaa leo kuomba msaada kuhusu a to z ya biashara ya urembo wa magari yaani car accessories kama carpets, steering cover, radio, stickers, air freshner, na vingine vingi ambavyo sijavitaja. Ningependa kujua nitahitaji mtaji wa shilingi...
  3. M

    Nataka kufungua biashara ya duka la bidhaa ndogo ndogo za nyumbani

    Habari wana JF, Samahani katika harakati za kujikwamua kimaisha nimepanga nifungue biashara ya duka la bidhaa za nyumbani kama vile viduka vyetu vya mtaani vya mangi. Kwa ambaye amewahi kufanya hii biashara anisaidie ushauri, natakiwa niwe na mtaji kama shilingi ngapi? Na gharama za leseni ya...
Back
Top Bottom