Umeweza kuzungumza mengi mazuri,Ila kiukweli bado Kuna umuhimu mkubwa wa Hawa Maafisa Ushirika,hususani katika kutoa elimu na kufanya usimamizi juu ya uendeshwaji kwenye hivi vyama vya Ushirika vilivyopo katika halmashauri zetu nchini, mwisho wa siku wakiondolewa kutapelekea vyama bingo...
Umetoa mawazo mazuri Sana kuhusu ushirika,pia unadhani Tume isipoweka Ofisi au kuhusisha upya muundo wake kwa kuwatambua Maafisa Ushirika wa wilaya (DCO/MCO/TCO) pamoja na kuwatambua Maafisa Ushirika waliopo chini yao unadhani usimamizi utakuwa timilifu?Je kuwepo kwa usimamizi ngazi ya Mkoa...
Unadhani vyama vya Ushirika vikigawanywa katika makundi na yakatungiwa Sheria yake Ushirika utasimama?Je pia Kuna haja ya Tume ya Maendeleo ya Ushirika kuwepo au irudi Kuwa idara chini ya wizara ya kilimo?
Fatma kifanyike Nini ili Ushirika uweze kurudi? Pia Kama umepata fursa ya kuipitia hiyo Sheria ya vyama vya Ushirika pamoja na muundo wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika kipi kiboreshwe?
Tuzungumze kuhusu ushirika na kinachoendelea juu ya mabadiliko ya Sheria ya vyama vya ushirika Na. 6 ya mwaka 2013. tuzungumze juu ya Time ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania.
Tuzungumze juu ya umuhimu wa Maafisa ushirika nchini, na je ni kwanini serikali haioni umuhimu wao?
Pia kwanini Tume ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.