Recent content by Mombo Wetu

  1. M

    Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    UKIMWI hauwezi kukaa pamoja na roho mtakatifu lazima uungue...Tena damu ya Yesu ni bora kuliko damu za wanyama wote sasa itakuwaje wewe unywe damu ya Yesu yenye utakaso virusi vibakie vizima duuh basi Yesu lazima awe mwongo...Ukikiri kuwa Yesu ni mwongo hii kesi inaishia hapa. Lakini ukisema...
  2. M

    Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    Thanks a lot kwa hii useful post! Inasikitisha jinsi watu wanavyojipa imani kuwa wana mwamini Mungu. Ndiyo maana neno la mungu linatuasa katika 2Tim. kwamba siku za mwisho wengi watatokea wakitenda miujiza na kuleta elimu tofauti na yale tunayoambiwa na holly spirit kama custodian wetu zama...
  3. M

    Hatimaye CCM yatimiza ahadi; Bajaji za Wagonjwa zapokelewa rasmi

    Ila watz kwa kulalamika Mungu atusaidie....Juzi hapa tuko tunapiga kelele ooh tunanunuaje vitu second hand sheria ya manunuzi haijafuatwa, leo Srikali imejitahidi angalau kutimiza promise iliyotoa ooooh kwanini hawakununua second hand Ambulance Japan......Kesho watanunua hizo second hands...
  4. M

    Uongozi wa Chama Kipya Ukiingia; CCM kifutwe?

    Nilikuwa sijasoma post yako kabla ya ku post yangu-we are precisely in the same line of thinking...Huwezi kujipindua hata siku moja; lakini pia kama walivyogusia wengine ung'ang'anizi wao utasababisha watu kukosa uvumilivu na kuanza kuwatoa kwa nguvu... Kama ningekuwa mimi CCM ingetafuta exit...
  5. M

    Uongozi wa Chama Kipya Ukiingia; CCM kifutwe?

    Hivi kweli tuambiane ukweli kulikuwa na nia ya kweli ya kuanzisha multipartism? Vipi eti chama ambacho wanachama wake ndiyo waamuzi wakuu; viongozi wote wa vyombo vya dola walikuwa makada na resources zote za nchi zilikuwa zinamilikiwa chini ya chama hicho alafu gafla mnabadilisha sentensi mbili...
  6. M

    Is it true Tanzania is the 2nd Largest Economy in East Afrika?

    Hizi data zako za kweli mbona za UN zinasoma tofauti how comes Kenya 2008 ina $30 bil alafu 2009 iwe 19.6; Uganda in $15.8 na Tanzania $20.7Bil? Sasa njoo kwenye GDP per capita uone Tanzania tunavyochekesha Rwanda ina 458.5, Uganda ina 500, Tanzania tuna 495.9 (UN 2008) which means Uganda wako...
  7. M

    Babu wa Loliondo afungiwa kwa muda kutoa huduma...

    Knowledge ndogo ya physiology na biochemistry niliyonayo inaniambia wanaweza kupata blood, urine na hata nywele samples na ku analyse kama kuna traces za vitu ambavyo kiscience zinajulikana kuleta madhara
  8. M

    Babu wa Loliondo afungiwa kwa muda kutoa huduma...

    Mbona hayo maswali yako zaidi upande wa serikali kuliko Babu? kwani watalii wanapokuja kutembelea wanyama mbugani na Ngorongoro crater mbona hatulalamiki kuzihamishia Dar ambako kuna facilite zote? Kumbuka babu kapewa karama ya kutibu katoa utaratibu ambao mimi nauona wakimungu zaidi...uwe na...
  9. M

    Babu wa Loliondo afungiwa kwa muda kutoa huduma...

    kwani watawalazimisha? Si watafute ambao wako tayari kufanyiwa vipimo? Kama wanaweza kushuhudia wamepona kwenye vyombo vya habari wataacha ku colaborate na serikali?
  10. M

    Picha na stori za Loliondo- kwa Babu

    Heri yake yeye aliyekubali na kutii atakula mema ya nchi...wewe baki na ushabiki wako wakuhesabu wenzio as if death is excluded from you!
  11. M

    Dr. Mwakyembe na Dr. Slaa watishiwa kuuawa

    I also now understand what He meant...by the way Mungu huyo aliyemsaidia ku expose hayo yote ndo huyo huyo atakayemlinda dhidi ya hao magaidi. Amechukua hatua stahiki kwani believing does not mean being careless Mungu akikuonyesha adui wewe usipomshughulikia kwa nguvu alizokupa Mungu yeye...
  12. M

    Babu wa Loliondo afungiwa kwa muda kutoa huduma...

    Alafu amesha sema hiyo dawa ukichemsha mwenyewe haitibu, yeye akitoka hapo kwenda kuwapelekea kwingine haitibu, mgonjwa asipoenda na kuipokea hapo yeye mwenyewe na kupewa na mikono ya babu haitibu so hiyo science itapima kitu gani hapo? But kiroho tunaweza ipima kwamba imani itakufanya wewe...
  13. M

    Dr. Mwakyembe na Dr. Slaa watishiwa kuuawa

    Acha ku exagerate issues wewe kama ni Uislam vs ukristo je huyo Fred Lowasa aliyetajwa ni mwisilamu? Acheni kupofushwa na siasa za kuchumia tumbo na kutumia cover ya udini wakati wenye dini zao hawana hata habari maskini...poleni mwe nikisema ujinga ni garama mwingine ataropoka...
  14. M

    Dr. Mwakyembe na Dr. Slaa watishiwa kuuawa

    Hivi kama hiyo story ni kweli sasa wahusika wanaogopa nini? Kwani polisi inaweza linda evil spirit? I cant read you! Yaani watu wenyewe ni wakristo then eti ushirikina ndo unaodaiwa utawadhuru na kichekesho zaidi eti wanaomba ulinzi wa polisi...something is wrong somewhere! Hivi basi hata kama...
  15. M

    Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    Swali moja tu kwa jamii ya waaminio wasio amini nawa exclude kwasababu language nitakayo ongea hawajajifunza bado...ila kwa wale wanao amini....Atakuja mpinga kristo na kuonyesha ishara na maajabu kwani atapata anointing ile ya high class kutoka kwa Mungu wa ulimwengu huu; Je kama ndivyo...
Back
Top Bottom