Nimeomba ushauri ili nijue kana kwamba wasije wakanikata kule labda TCU kana kwamba admission yangu ikawa inasoma institution nyengine yaan hapo ndipo nahofia
Nope hapana nataka nibadilishe course tu ndo kwnz naingia mwaka wa pili ila nina passion ya kusomea kitu flan ndo maana nataka badili course niweze kuombaa degree
Habarini nyote....
Nilikuwa natafuta tu clarification kwamba naweza omba chuo kikuu pindi dirisha litafunguliwa hali ya kuwa nipo chuo cha kati na niliweza kusoma advance na kufaulu division II sema ilinilazimu nianze clinical medicine diploma.
Hivyo nimefanya machaguzi kubadilisha course...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.