Recent content by mohammed1960

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: DCI Ramadhani Kingai anakuja kunitetea. Sasa itabidi aje anyooshe maelezo. I've fought this war for 30yrs, I know how it goes!

    Malizia sentens,i mbona unaficha Roho za watu zilizo teketezwa
  2. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Lissu Inatakiwa Afunguliwe Mashtaka Mapya Kabisa na kufanya Uchunguzi Juu ya Kauli zake zilizotolewa Mwaka jana kabla ya Uchaguzi

    Tuchunguze Nani katoa amri ya kuuwa maelfu ya watu Oct 29, tuanzie hapo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Huyu hakuwa raia mwema, haiwezekani umpige askari kwa teke na ngumi

    Huyu jamaa anampiga Askari ni mwenzao wanataka tu kubalance unyama wao wa kupiga raia bila hatia
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka social media: Mnataka Nasoro Katuga aandamane peke yake? Kama watanzania 60 milioni tumeshindwa kuandamana, ataweza mtu mmoja?

    Kutetea uwongo ni mzigo mzito! Jamaa anajikuna Kuna kichwani mara Kwa mara, hiyo ni dalili moja wapo unaposema uwongo
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu wa CHAUMMA atinga na nyomi kuchukua fomu ya Urais

    Jamani tunafanya utani kwenye hili la uraisi, mtu hata nafasi ya uongozi serekalini hajawahi kushika anaparamia uraisi! Hata tutakao mpigia kura tutakua ni vichaa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere ahoji, ulishawahi kumuona mke wa Lissu Mahakamani? ushawahi kuona mtoto wa Lissu? kuna kizuizi gani kinawazuia?

    Ndio hawataonekani ni kama mashahidi wa siri wa kesi ya mchongo
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yaitwa Mahakamani August 5, kuhusiana na mgombea Urais kuvunja Katiba

    Msajili Mtungi anasemaje ?
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Ni utamaduni wa CCM kumwongezea muda Rais anayefanya vizuri

    Kafanya vizuri kukuponya njaa yako, kama si hivyo ungeanza kuminyana na watoto wako na kuanza kulalamika umeibiwa kura majimbo yameongezwa😀
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi wa Bumbuli wachinja ng'ombe kusherehea January Makamba kukatwa

    Ni chuki tu za kupandikiza, wanategemea nini zaidi Kwa atakae kuja? Ajira ? Maisha nafuu ? Wacha tuone na mje mchinje japo bata Kwa hayo matumaini yenu, TUNASUBIRI HAYO MAAJABU.
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wapinzani Wanaogopa Sana Kukutana Na Rais Samia Katika Sanduku La Kura. Mambo aliyoyafanya ni Miujiza Itembeayo

    Kuna wakatii huko nyuma tulikua na chizi anafanana na huyu jamaa nimesahau jina lake, alikua na stori za kichizi chizi mara anasema alitaka kupewa urais akakakataa mnammumbuka?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Wasira: Hakuna Nchi Inakosa Wanung'unikaji Hata Ufanyaje. Wenye Matatizo Yao Waendelee kunung'unika. Nchi haipaswi kuwa kama Kiporo

    Hata wewe ulilamika Kule Bunda kua umeibiwa Kura au umesahau?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ninamwomba Mungu sana sana TAL au MwanaCCM yeyote baada ya Mama asijefanya haya!

    Usisahau mkono wa mungu unaweza kufanya miujiza ukashangaa
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Vipi Mzee Wasira hataki tena Jimbo la Bunda?
Back
Top Bottom