Recent content by mohamed tabu

  1. mohamed tabu

    JamiiForums Tanzania Unazuia sherehe za Uhuru, unaadhimisha birthday ya CCM

    Sidhani kma kuna kosa la ccm kufanya sherehe ya chama chao hivyo mleta mada liangalie kwa jicho la tatu coz hiyo ni isue ya chama na si ya kitaifa na mh raisi si mwenyekiti wa chama hivyo awezi kuzuia sherehe hiyo tumsubiri atakavyokuwa mwenyekiti kama na uko atabana matumiz ya chama chake au la
  2. mohamed tabu

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu tatizo la maumivu ya magoti (Osteoarthritis)

    Habari za leo mimi nimepata ajali nilikuwa nacheza mpira basi mguu wangu ukategukia upande WA kulia Mwa goti langu na kile kitanga cha goti kikasogea wamenifunga pop Ila limepwaya na ni siku ya tatu tu je alitoleta tatzo kubwa apa gotini NA kufunga pop ndyo tiba sahihi NA je nivitu gani naweza...
Back
Top Bottom