Recent content by moghasa

  1. moghasa

    Kazi ya Ualimu ni kazi ya ajabu sana, nifanyaje nijitoe?

    This is where your problem begins! Kwasababu ya marks ulizopata ukiwa form six ulijiona you deserve better na baada ya kufika kazini ukakutana na walimu ambao kwa mtazamo wako unaona ulifaulu zaidi kuliko wao, sasa nafsi yako haijawahi kukubali maisha iliyonayo. Trust me with that kind of mind...
  2. moghasa

    Watanzania tuache kusoma hizi Course (Kozi) supply imekuwa kubwa Kuliko demand

    [emoji3][emoji3][emoji3] Hii post ni ya mwaka jana sijui kama kijana Mayunga234 alishapata uelewa wa haya mambo ya takwimu na tatizo kuwa mwajiri! Kuna post hapo juu, anakuambia "Lala usitusumbue" akili halisi za vijana wengi wa kitanzania wasio na uelewa na wanaojiona wajuvi wa mambo...
  3. moghasa

    Baada ya Safina ya Nuhu kutua Mlima Ararat, wanyama walifikaje kwenye mabara mengine?

    Acha Ubishi basi! Nini maana ya kumiliki smart phone!
  4. moghasa

    MSAADA: Nakojoa kitandani licha ya kuoa

    kama una tatizo la msongo wa mawazo, hii hali haitaisha, tafakari kitu kinachokupa msongo wa mawazo achana nacho utapona! Nasisitiza.
  5. moghasa

    "Usijenge Familia kukiwa kumekuchwa" Vijana Zaeni na oeni mungali mna nguvu

    Kuandika hivi kuhusu mwenzako hakutufanyi tukuone wewe una akili. Zaidi naona kama kinyume chake ni kweli.
  6. moghasa

    What is the purpose of life? Kwanini tunaishi?

    Hakuna zawadi kubwa na ya pekee aliyopewa mwanadamu kama kifo. Kifo kimetufanya tuwe na uwezo wa kupambana na mazingira yetu na kuja na gunduzi nyingi zisizo na kifani. Kifo kimemfanya binadamu agundue namna ya kuugawa muda wake kwani hatimaye kuna ukomo wa kuishi. Kupitia kifo mimi najua...
  7. moghasa

    What is the purpose of life? Kwanini tunaishi?

    Tunaishi kwasababu tuna nafasi katika mzunguko wa kiikolojia, vipi kama sisi ndio tunafugwa na miti ili iweze kupata hewa ya kabonidayoksaidi. Tupo ili kulite ulinganifu kwenye kanuni za kimaumbile za ulimwengu (law of nature). Hauna tofauti na sisimizi mkuu.
  8. moghasa

    What is the purpose of life? Kwanini tunaishi?

    Chukulia mfano wa Jambazi aliyeokoka kwa imani ya kikristo, anapoingia kanisa ni akakiri kwamba kuanzia leo mimi naacha wizi na kumjua Mungu, hapo nani amekuwa amebadilika? Mtazamo wa jamii kwenda kwa jambazi wetu wa zamani hapa una nguvu kubwa. Ghafla jamii itaanza kujikita kuangalia mazuri...
  9. moghasa

    What is the purpose of life? Kwanini tunaishi?

    Umepewa akili pamoja na mazingira yote yanayokuzunguka ili uweze kuyageuza kwaajili ya manufaa yako, mfano kuchonga miti kwaajili ya makazi, chuma kama zana na nyenzo za kufanyia kazi. Tofauti yetu inakuja pale tu tunapotofautiana namna tunavyopambanua mazingira yetu, maisha yetu yote ni jinsi...
  10. moghasa

    Tamko kutoka shirika la ndege Tanzania ATCL baada ya picha za tairi za moja ya ndege zake kusambaa zikionekana kuchakaa...

    @Mshana Jr Elena basi. Mruko mmoja baada ya tairi kuonesha nyuzi Na sio vinginevyo.
  11. moghasa

    Tamko kutoka shirika la ndege Tanzania ATCL baada ya picha za tairi za moja ya ndege zake kusambaa zikionekana kuchakaa...

    Huwa napenda watanzania wanaofikiri kama wewe mkuu, ila ni wachache sana "watanzania wengine ni wapumbavu na Malofa" ( B. Mkapa)
  12. moghasa

    Tamko kutoka shirika la ndege Tanzania ATCL baada ya picha za tairi za moja ya ndege zake kusambaa zikionekana kuchakaa...

    Tuwe na imani na wataalamu katika nyanja zao, taili za ndege sio kama za baiskeli mkuu! Amini kwamba mtoa taarifa anajua vizuri mambo ya ndege kuliko wewe, kwa ulimwengu huu wa Google hata wewe unaweza kujipa elimu juu ya masuala hayo yote
  13. moghasa

    Sio kila mchekeshaji anaweza kuwa MC

    Wewe ndiye unasema hapo juu kuwa ungependa tusikie maoni yako juu ya masuala ya kitaifa. " Jingaz jinga" ( kwa sauti ya mama yangu)
  14. moghasa

    Mzee Ali Hassan Mwinyi atunukiwa zawadi kwa kuutumikia Uislam

    Linapokuja suala la dini huwa nashangaa mtu ninayemwamini to the maximum anapuyanga! This is a wonderful world!
Back
Top Bottom