Kwa size sisi inakua kubwa sana tunakukatia kutokana na ukubwa unaotaka siyo lazima 60 cm hata zaidi, kwani, kuna ambao top zao zimezidi 60 . Pia kuna matumizi mwingine kama ngazi n.k
Sijajua inaweza ikawa mchina (sina uhakika)
Ila kwa bei ya granite au Marble original yaani jiwe kwa bei sisi tupo chini.
Jina la kampuni ni STONE WORLD unaweza ukagoogle utaona.
Machimbo yako Oman Na factory pia.
Marble na granite yote ni mawe yanachimbwa. Kwa kampuni yetu machimbo yako Oman na factory pia. Sisi ni branch tuna import.
Kwa siku izi kuna fake (zakutengeneza, za kichina) ambayo bei ipo chini ila ukakaa nayo itabadilika rangi au itakua na nyufa inabidi uwe makini sasa ya kununua.
Tofauti...
Kwa mahitaji ya marble na granite ujumla na rejareja na mafundi bora wa ujenzi wa majiko bora naya kisasa pamoja na ujenzi wa tiles piga /whatsapp 0657441192
Kwa mahitaji ya marble, granite jumla na rejareja na mafundi bora wa kujenga majiko ya marble, Tiles ndani ya nyumba na makaburi(kuweka marble)
Piga / whatsapp 0657441192
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.